Thursday, July 12, 2012

USAFIRI KUZIDI KARAHA

Usafiri ni kitu muhimu kwa maana ya kutoka sehemu moja na kuelekea nyingine,kwa miji mikubwa kama Dar er salaam na Mwanza usafiri hupoteza umuhimu na kuwa karaha pale tu idadi ya watu inapoelemea vyombo vya usafiri.Moja ya vyombo hivyo ni ''daradara'' au ''express''.Kwani madirisha badala ya matumizi ya kuingiza hewa huzidisha matumizi hadi kuingiza watu wakati huo huo mlangoni kukiwa hakupitiki tena kwa sababu tu kila mmjo angombea mlango huo.

No comments:

Post a Comment