Wakati takirbani kwa kila familia mbili kati ya kumi za kiafrika hususani kutoka jamii za vijijini zikikishindwa kufikia malengo ya kukuza vipawa,vipaji vya wanao kwa mabara kama Marekani,Ulaya na Asia tayari kuna mikakati thabiti ikitekelezwa.Baadhi ya mikakati inahusisha kuanziswa kwa shule za sanaa na vipaji ukiachilia mbali kampeni za kuhamasisha vipaji chipukizi zinazopambwa moto na vyombo yya habari.Jitihada zao zinafuatiwa na matunda bora yanayodhirihika sio tu kwenye tasinia ya muziki,filamu,kandanda,bali pia hata siasa.


No comments:
Post a Comment