Saturday, April 14, 2012

TAMBUA MWANZO NA KIKOMO CHA UELEWA

                     Kufunza ni mchakato unohusisha kutoa maarifa na ujuzi kwa mfumo wa maelekezo unaombatana na vitendo au nadharia.Na kuelewa ni hatua ya kubadili tabia,mtazamo na kuongeza upeo katika kufikiri chanya.Lakini kama ilivyo katika kufundisha na kueelewa pia hutegemea zaidi mazingira ,mitazomo,,uepesi katika kuelewa maada nk.
            Hapa tutaangalia zaidi swala la uepesi wa kuelewa maada''topic'',Kimsingi uelewa wa binadamu umegawanyika katika vipengele vikuu vitatu,ambavyo navyo ni, moja wale wenyekuelewa upesi sana kabla na baada ya kufundiswa''first learner'',pili ni kundi la wale wenye uelewa wa kati(kadri) baada ya kufundishwa''slow learner'',na mwisho ni kundi la watu wenye kuelewa taratibu sana''lagged behind''

No comments:

Post a Comment